VERSE 1 LYRICS:
Najikataza nisiangalie ju huni-haunt kila mara
lakini jana yetu ndio hujenga kesho imara
hiyo Sato ningeenda home mapema kuepuka nini?
senses zangu zililala sikujua wananikujia mimi
na hao kunidunga kisu ilinispark kimawazo
docte ali-stop bleeding na God Alikuwa na mpango
garage Eastleigh ndio location ya crime scene
tulikatsiana na Steve ndio but hiyo ilikuwa extreme
mother alinifunza better, thank you for that
nisifwate za dunia kama tit for tat
zile mbegu zimegrow pamoja na mimi, half ziko
na-miss ata kama waliaga, akina Nicko
ilikuwa either niwa-join ama nifwate njia mpya
na binguni ilikaa mbali acoeding to my preacher
na Kevo kunilipia school fees ilimaanisha ananiamini
saa hizo ni memories nitazi-treasure miaka mingi
CHORUS LYRICS:
[narating]
VERSE 2 LYRICS:
Najikataza nisiangalie ju huni-haunt kila mara
huyo hanjam mnasaka niko na yeye hapa
aliniamini na kunipenda kabla ma-fans wanijue
kabla key board ya P.Mwaniki inijue
David Odongo na hao ma-editor wengine wanivutie
najua kwa start ilikuwa kazi kwa wewe pia
mkidhani hii roho ilikufa ganzi, kuna yule mi huita dear
ata ka meeting ilikuwa kwa njia, bado namwaminia
mabeshte wake wale close bado wana-hate
wajue mi ni binadamu, I'm prone to mistakes
alinipata m-different, muulize nime-change
ana hips poa so mi hupenda akivaa vitu tight
saa hizo tie inapelekwa chini ku-set the mood right
ka ni mwezi wa Ramadhan tunatumia moon light
atatukiongelea Tyron, namtaka kwa keja
na ninajua hiyo tumbo yako ndio itambeba
CHORUS LYRICS:
[narating]
VERSE 3 LYRICS:
Najikataza nisiangalie ju huni-haunt kila mara
saa hii na-roll na brothers from other mothers
kalamu yangu imeleta fame, doh na clothes
but mostly nafurahi nikiwa na mabeshte wakiwa close
sijajua nani ndio truth na nani ndio false
uzuri tuna vision moja, njia ya maisha poa
kimbilia biz pale Koja uone ngapi itatoa
nimeshikilia ndoto ya watu wengi, nikiamka wanalala
zikawacha kuwa ndoto, empire kaka
but kuna yule alicheka na mimi na ako na chuki kisiri
nilimpa kisu apake bibii, akanikatia bibi
mateke, zile asanti za punda
lakini bado after show tuta-share kibunda
yote ilikuwa pursuit ile wanaita ya happiness
beshte ni yule anakam kwako unamwachia bed
yule unaweza mwacha na dem yako na u-feel safe
CHORUS LYRICS:
[narating]
sijajua nani ndio truth na nani ndio false
ReplyDeleteuzuri tuna vision moja, njia ya maisha poa
kimbilia biz pale Koja uone ngapi itatoa
nimeshikilia ndoto ya watu wengi, nikiamka wanalalaπ€πππππ